TIMU
ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania, Twiga Stars itacheza na Zambia katika
mchezo wa kufuzu fainali za Africa kwa Wanawake zitakazochezwa Ghana
baadaye mwaka huu. Twiga Stars inatakiwa kucheza mechi zote mbili kati ya April 2 na April 10,2018. Mchezo huo ni wa raundi ya kwanza.
0 comments:
Post a Comment