Mshambuliaji
wa Ufaransa, Olivier Grioud akipambana kuwania mpira wa juu na beki wa
Denmark, Simon Thorup Kjaer katika mchezo wa Kundi C Kombe la Dunia
uliomalizika kwa sare ya 0-0 Uwanja wa Luzhniki mjini Moscow, Urusi na
timu zote zinakwenda hatua ya 16 Bora Kombe la Dunia zikiziacha Peru na
Australia zikiaga mapema
Home
»
»Unlabelled
» UFARANSA NA DENMARK ZAENDA 16 BORA KOMBE LA DUNIA
Wednesday, June 27, 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment