Ivan
Perisic akishangilia baada ya kuifungia bao la pili Croatia dakika ya
90 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Iceland kwenye mchezo wa Kundi D Kombe
la Dunia Uwanja wa Rostov Arena nchini Urusi. Milan Badelj alianza
kuifungia Croatia dakika ya 53 kaba ya Gylfi Sigurdsson kusawazisha
dakika ya 76 kwa penalti kufuatia Dejan Lovren kucheza rafu kwenye
boksi. Croatia inamaliza mechi za makundi ikishinda zote tatu baada ya
kuzifunga pia Argentina na Nigeria na sasa itakutana na Denmark katika
16 Bora
Home
»
»Unlabelled
» CROATIA YAMALIZA MECHI ZA MAKUNDI KWA USHINDI ASILIMIA 100
Wednesday, June 27, 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment