
Diego Maradona
“Namuomba japo Mungu anipe nguvu niwe na nguvu kama zamani kwani naumia kuona timu yangu inapotea kirahisi rahisi, mbaya zaidi naumia kuona timu yangu inakuwa mbovu hata kwenye michuano yenye timu 32 hii ni aibu kubwa kwa timu tuliyotumia nguvu kubwa na miaka mingi kuijenga, nitarudi kuifundisha timu yangu tena bila hata malipo. Hebu fikiria nimekimbia umbali gani nikiwa na jezi na bendera ya taifa langu? narudi kuifundisha timu yangu siwezi kukubali matokeo tuliyoyapata,“amesema Maradona kwenye mahojiano na ESPN.
Hata hivyo, Kocha huyo hataweza kufukuzwa kiurahisi na chama cha mpira nchini Argentina (AFA) kwani atatakiwa kulipwa kiasi cha dola milioni $17.
0 comments:
Post a Comment