Kiungo Jorge Luiz Frello Filho 'Jorginho'
akiwa ameshika jezi ya Chelsea pamoja na kocha mpya wa timu hiyo,
Maurizio Sarri kufuatia kukamilisha uhamisho wa Pauni 57 kutoka Napoli
ya Italia. Jorginho alikuwa anatakiwa pia na Manchester City ambao
wamelalamika Napoli kumlazimisha mchezaji huyo kuhamia Chelsea
Home
»
»Unlabelled
» JORGINHO TAYARI NI MALI YA CHELSEA KWA PANUNI MILIONI 57
Saturday, July 14, 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment