Sunday, July 8, 2018


Mchezaji tennis raia wa Taiwan, Hsieh Su-wei amefanikiwa kusonga mbele kwenye michuano ya Wimbledon baada ya kumfunga, Simona Halep anayeshika nafasi ya kwanza kwenye viwango vya ubora duniani.

Mchezaji tennis raia wa Taiwan, Hsieh Su-wei
Hsieh Su-wei ambaye anashika nafasi ya 48 kwenye viwango hivyo vya ubora amemfunga Halpe kwa jumla ya seti 3-6, 6-4, 7-5 kwenye raundi ya tatu.

Simona Halep
Halpe anakuwa kigogo wa nane kati ya 10 ambao wameshuhudiwa wakiyaaga mashindano haya ya Wambledon kwa upande wa wanawake.

0 comments:

Post a Comment