Bondia
Lucas Matthysse akiwa amelala chini baada ya kuangushwa na mpinzani
wake, Manny Pacquiao usiku wa kuamkia leo katika pambano la kuwania taji
la WBA uzito wa welter mjini Kuala Lumpur, Malaysia. Kuala Lumpur on
Sunday. Pacquiao mwenye umri wa miaka 39, ameshinda kwa Knockout (KO)
raundi ya saba baada ya kumuangusha Matthysse mara tatu na kuweka rekodi
ya kushinda mapambano 60 kati ya 69 aliyocheza, akipoteza saba na sare
mbili
Home
»
»Unlabelled
» PACQUIAO AMTWANGA MTU KO NA KUSHINDA PAMBANO LA 60
Sunday, July 15, 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment