Monday, September 17, 2018


Canelo Alvarez (kushoto) akimchapa Gennady Golovkin alfajiri ya leo katika pambano la marudiano baina yao ukumbi wa T-Mobile Arena mjini Las Vegas, Marekani kuwania mataji ya IBO, WBA na WBC uzito wa Middle. Alvarez alishinda kwa pointi majaji wawili, 115-113 huku mwingine akitoa droo 114-114. Golovkin alilalamika kudhulumiwa kwa mara ya pili baada ya pambano la mwaka jana kutolewa droo

0 comments:

Post a Comment