Monday, September 17, 2018


Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kuifungia Juventus mabao yote dakika za 50 na 65 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Sassuolo kwenye mchezo wa Serie A Uwanja wa Allianz mjini Torino. Bao la Sassuolo limefungwa na Msenegal, Khouma El Hadji Babacar na Ronaldo amefunga kwa mara ya kwanza leo baada ya kucheza mechi tatu awali bila kufunga kufuatia kujiunga na timu hiyo kutoka Real Madrid kwa ada ya Pauni Milioni 100

0 comments:

Post a Comment