Nahodha
wa Liverpool, Jordan Henderson akisaini mkataba mpya wa miaka mitano
kuendelea kuichezea timu hiyo leo. Kiungo huyo wa kimataifa wa England
mwenye umri wa miaka 28 alijiunga na Liverpool mwaka 2011 akitokea
Sunderland na hadi sasa amekwishacheza mechi 283 na kufunga mabao 24 na
alipewa Unahodha baada ya kuondoka kwa Steven Gerrard
Home
»
»Unlabelled
» HENDERSON ASAINI MKATABA MPYA WA MIAKA MITANO LIVERPOOL
Tuesday, September 4, 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment