Meneja wa
Manchester United Jose Mourinho ametania kuwa hana hofu kuwa atapoteza
kazi yake kwa sababu inaweza kaigharimu klabu pesa nyinyi kumfuta. (La
Repubblica via Daily Telegraph)
Meneja wa Aston Villa Steve Bruce anataka kumsaini tena mlinzi wa zamaniawa England mwenye miaka 37 John Terry. SunSporting Lisbon itampa mkataba mpya mshambulizi raia wa Cape Verde mwenye miaka 20 Jovane Cabral na kuongeza pesa na kumwezesha kukata mkataba wake hadi pauni milioni 40.5 wakati Barcelona wanammzea mate. (Ojogo - in Portuguese)
Manchester City wako tayaria kungoja hadi msimu wa msimu kabla ya kumpa ofa mlinzi Mbelgiji mwenye miaka 32 Vincent Kompany mpya. (Sun)
Meneja wa Liverpool Jurgen Klopp anasema hana mipango wa kuwabadilisha makipa wake wakti wa ligi ya mabingwa huku kipa Mbrazil mwenye miaka 25 akitarajiwa kucheza
Mtoto wa Ronaldo alifunga mara nne kwenye timu ya Juventus wa wachezaji walio chini ya miaka 9. (Mirror)
Messi anasema Madrid wamebaki dhaifu baada ya kuondoka Ronaldo na wakati huu ndio Barcelona inahitaji kushinda ubingwa tena. (El Pais - in Spanish)
Rais wa Bayern Munich Uli Hoeness anasema Paris St-Germain inastahili kumfuta mkurugezni wa michezo Antero Henrique kutokana na njia alikuwa akimsaini mlnzi wa Bayern Jerome Boateng na kiungo wa kati mreno Renato Sanches. (Kicker - in German)
Sunderland wanatathmini kumchukulia hatua za kisheria Djilobodji kwa kukataa kurudi. (Mirror)
Wafadhili wa kamari watapigwa marufuku kutoka Wembley ikiwa uwanja huo utunzwa kwa mmiliki mpya chini ya masharti yaliyowekwa na serikali. (Times - subscription required)
0 comments:
Post a Comment