Klabu ya Brighton ya Uingereza imepeleka maombi kwenye klabu ya Genk kutaka kumsajili kiungo Sander Berge.
Bado hakuna ofa iliyotolewa na klabu hiyo lakini mchezaji mwenyewe anataka kwenda kwenye klabu kubwa.
Brighton walisha msajili kapteni wa klabu hiyo ya Genk Leandro Trossard kwenye dirisha hili la usajili kwa dau la £15m.