Klabu ya Chelsea imeweza kuibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya klabu
ya St Patrick, ambapo ushindi huo unakua wa kwanza kwa Chelsea ikiwa
chini ya kocha Frank Lampard.
Magoli ya Chelsea yaliwekwa kambani na Mason Mount, Emerson Palmieri
na Olivier Giroud aliyeingia kutokea benchi na kuipatia mabao mawili
timu yake.
0 comments:
Post a Comment