Klabu ya West Ham inavutiwa kutaka kumchukua mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Chelsea Gonzalo Higuain.
Inaeleweka kwamba Hammers na Roma wanakaribia kusaini Muargentina huyo lakini Higuain anataka kubakia kwenye klabu ya Juventus baada ya kurejea Turin akitokea kwenye mkopo kwenye vilabu vya AC Milan na Chelsea msimu uliopita.
0 comments:
Post a Comment