BAMLAK
Tessema mwenye umri wa miaka 39 raia wa Ethiopia ameteuliwa na
Shirikisho la Soka Afrika (Caf) kuchezesha mchezo wa fainali ya michuano
ya Afcon utakaochezwa Ijumaa kati ya Senegal na Algeria uwanja wa
kimataifa wa Cairo.
Fainali inatajwa kuwa na msimko wa kipekee kutokana na timu zote mbili kuhitaji kuwa mabingwa wa michuano hii mikubwa.
Algeria na Senegal wote walikuwa kundi C ambapo walipokutana kwenye hatua ya makundi, Algeria waliibuka na ushindi wa bao 1-0.

0 comments:
Post a Comment