POGBA BADO YUPO YUPO SANA, MANCHESTER UNITED Nyota anayetaka kuondoka, Paul Pogba akiwa amepoezi na jezi mpya za msimu ujao za Manchester United kuashiria kwamba mchezaji huyo hataondoka kwa sasa
0 comments:
Post a Comment