Blackpool FC yamtoa kwa mkopo mshambuliaji wa Tanzania
Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayesakata soka nchini Uingereza Abdillahie ‘Adi’ Yussuf amerejeshwa kwa mkopo kwenye klabu yake ya zamani ya Solihull Moors FC kutoka Blackpool FC alikosaini mkataba wa miaka miwili mwezi Mei mwaka huu.
0 comments:
Post a Comment