Gabriel
Martinelli akishangilia baada ya kuifungia Arsenal mabao mawili dakika
ya 13 na 16 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Standard Liège kwenye mchezo
wa Kundi F UEFA Europa League usiku wa jana Uwanja wa Emrates. Mabao
mengine ya Arsenal yalifungwa na Joe Willock dakika ya 22 na Dani
Ceballos dakika ya 57
Home
»
»Unlabelled
» GABRIEL MARTINELLI AFUNGA MAWILI ARSENAL YASHINDA 4-0 EUROPA LEAGUE
Friday, October 4, 2019
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Xem trực tiếp Socolive TV
ReplyDelete