Simba SC warejea Dar es Salaam Vichwa Chini Kikosi cha Simba SC tayari kimerejea jijini Dar es Salaam kikitokea mkoani Shinyanga ambapo hapo jana kilicheza dhidi ya Mwadui FC na kukubali kichapo cha goli 1-0.
0 comments:
Post a Comment