Afisa
Mhamasishaji wa Yanga SC, Antonio Nugaz (kulia) baada ya kumpokea kocha
mpya mtarajiwa wa klabu hiyo, Mbelgiji, Luc Aymael (kushoto)
aliyewasili Dar es Salaam leo na moja kwa moja kwenda kuungana na timu
visiwani Zanzibar kwenye michuano ya Kombe la Mapinduzi
Luc
Aymael anakuja Yanga baada ya kuzifundisha klabu za AS Vita ya Jamhuri
ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Missile ya Gabon, AFC Leopard ya Kenya,
Rayon Sport ya Rwanda, JS Kairouan ya Tunisia, Al Nasr ya Dubai, Al
Merreikh ya Sudan, Polokwane City, Free State Stars, Black Leopard za
Afrika Kusini na Tala'ea El Gaish ya Misri
0 comments:
Post a Comment