SERENGETI BOYS KUSHIRIKI MICHUANO YA MARCEDES BENZ AEGAN NCHINI UTURUKI Kikosi cha timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys kinachojiandaa na michuano ya kimataifa ya Mercedes Benz Aegan inayotarajiwa kufanyika nchini Uturuki kuanzia Januari 15 hadi 21 mwaka huu
0 comments:
Post a Comment