Sanamu la mshambuliaji wa klabu ya AC Milan Zlatan Ibrahimovic lililopo nje ya uwanja wa klabu yake ya zamani iliyomlea Malmo lakatwa hadi kuanguka chini.
Sanamu hiyo, ambayo ipo nje ya uwanja wa
klabu ya Malmo huko chini Sweden, hapo awali lilikatwa pua baada ya
Ibrahimovic kuwekeza katika kilabu ambayo no wapinzani mnamo wa Malmo
Desemba. Uharibifu huo uligunduliwa saa 3.30 asubuhi wakati wa Jumapili,
na kulikuwa na maneno ya kejeli namatusi” Ujumbe uliyoandikwa karibu na
sanamu.
Ibrahimovic,
38, alianza kufanya kazi yake ya kitaalam katiuka klabu ya Malmo miaka
20 iliyopita. katika sana mu hilo lililokutana na vionja vingi mara uya
kwanza kabisa Uso wa sanamu hiyo ulifunikwa na shati iliyobeba beji ya
Sweeden.
Baada
ya kutangazwa kuwa Ibrahimovic alinunua hisa 25% ya Hammarby. Polisi
waliweka uzio kuzunguka sanamu hiyo, ambayo ilifunuliwa mwezi Oktoba
2019, pia Nyumba ya Ibrahimovic huko Stockholm pia iliharibiwa, kwa
kuandikwa maneno mengi kama “Yuda” kwa kupakwa rangi kwenye mlango wa
mbele. Msanii wa sanamu Peter Linde hapo awali alitoa wito kwa watu
waache uharibifu huo.
Mchezaji
huyo wa zamani wa Ajax, Juventus, Inter Milan, Barcelona, Paris
St-Germain, Manchester United na mchezaji wa LA Galaxy Ibrahimovic
amesaini tena AC Milan. Anatarajiwa kuanza kuitumika ligi ya Serie A
Jumatatu wakati watawakaribisha Sampdoria
0 comments:
Post a Comment