Kipa
Said Mohammed 'Ndunda' akipongezwa na mlinda mlango mwenzake, Abutwalib
Msheri baada ya kuokoa penalti mbili na kuiwezesha Mtibwa Sugar kutinga
Nusu Fainali ya michuano ya Kombe la Mapinduzi kwa ushindi wa penalti
4-2 dhidi ya Chipukizi FC baada ya sare ya 1-1 leo Uwanja wa Gombani
kisiwani Pemba kwenye mchezo wa Kund B. Chipukizi ilitangulia kwa bao
la Suleiman Nassor dakika ya tano, kala ya Haroun Chanongo kuisawazishia Mtibwa Sugar dakika ya 63.
Nduda aliokoa penalti za Jumaa Kassim na Abdallah Mohamed, wakati mikwaju ya Salim Abui na Abdalla Khalisan ilimpita huku penalti za Mtibwa Sugar zilifungwa na Omar Sultan, Abdulhalim Humud, Riffat Khamis na Dickson Job.

0 comments:
Post a Comment