CHIRWA AIPELEKA AZAM FC NUSU FAINALI KOMBE LA MAPINDUZI BAADA YA KUWATOA MLANDEGE FC Mshambuliaji wa Azam FC, Obrey Chirwa akishangilia baada ya kuifungia timu hiyo bao pekee dakika ya 57 ikiwalaza Mlandege SC 1-0 katika mchezo wa Kundi A Kombe la Mapinduzi leo Uwanja wa Amaan, Zanziba
0 comments:
Post a Comment