
Messi ,33, ameeleza kuwa anatamani kushinda mataji pia na timu ya taifa kama ilivyokuwa kwa staa wa Juventus na Ureno Cristiano Ronaldo ambaye ana mafanikio timu ya taifa ya Ureno na club.
”Nataka kuwa kama Cristiano Ronaldo, nataka kushinda mataji na timu ya taifa (Argentina)”>>> Messi hajawahi kushinda taji lolote na taifa lake la Argentina timu ya wakubwa wakati Ronaldo ameshashinda Euro 2016 na UEFA National League.
0 comments:
Post a Comment