Mshambuliaji
wa timu ya vijana ya wanawake chini ya umri wa miaka 17, Asha Masaka
(kushoto) akishangilia na mwenzake, Joyce Meshack (kulia) baada ya
kufunga mabao matatu dakika za 13, 17 na 61 katika ushindi wa 5-1 dhidi
ya Burund leo Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam kwenye mchezo wa
kwanza wa mchujo wa kuwania tiketi ya Fainali za Kombe la Dunia 2020
nchini India. Joyce pia alifunga dakika ya 38 na bao lingine la Tanzania
limefungwa na Protasia Mbunda dakika ya 45, wakati bao pekee la Burundi
limefungwa na Lydia Karenzo dakika ya 75
Home
»
»Unlabelled
» TANZANIA YAICHAPA BURUNDI 5-1 MECHI YA KUFUZU KOMBE LA DUNIA WANAWAKE U17 INDIA 2020
Sunday, January 12, 2020
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment