Imeripotiwa
kuwa mtu mmoja amejaribu kutaka kufanya udukuzi, (hacked), kwenye Email
binafsi za Kocha Mkuu wa Klabu ya Manchester City, Pep Guardiola na
kuuza kwa paundi laki 100,000.
Pep Guardiola has reportedly been targeted by a hacker who tried to sell his private emails
Mtu
huyo amekamatwa wiki hii na Polisi, Manchester baada ya kufanya udukuzi
katika akaunti ya Email ya Bosi huyo baada ya kuitumikia miamba hiyo
yenye maskani yake Etihad mwaka 2017.
Anadaiwa
kuwa alipata maelezo binafsi ya wachezaji na maswala ya usajili na
mazungumzo mbalimbali kutoka katika Email hiyo, kwa mujibu wa The Sun.
Mtaalamu
huyo wa IT, amedai kuwa kwake ilikuwa kitu rahisi kuwahi kufanya,
akifanikiwa kupata kila Email ya Kocha huyo mwenye umri wa miaka 49.
He claims to have acquired access to transfer talks, which included Matthijs de Ligt
Baada
ya kukamatwa kwa mtaalamu huyo wa IT, amedai kuwa alipata uwezo wa
kuingia kwenye akaunti ya Email ya Guardiola ni baada ya kupata simu
yake na ku- ‘downloaded’ mambo binafsi ya kiwemo taarifa za usajili.
Na
kufafanua kuwa ameweza kuona taarifa za usajili hata zile ambazo
hazikufanikiwa na kuongeza kuwa ameona mazungumzo ya Guardiola na
wachezaji Matthijs de Ligt na Sokratis Papastathopoulos.
Ambapo,
De Ligt akitimkia Juventus akitokea Ajax, wakati Sokratis akijiunga na
Arsenal akitokea Borussia Dortmund mwaka 2018. Goli kipa, Joe Hart na
hata Vincent Kompany.

0 comments:
Post a Comment