Mshambuliaji
Michy Batshuayi akishangilia baada ya kuifungia Ubelgiji mabao mawili
dakika za 17 na 69 katika ushindi wa 5-1 dhidi ya Iceland kwenye mchezo
wa Kundi la Pili Ligi ya Mataifa ya Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Stade
Roi Baudouin Jijini Brussels. Mabao mengne ya Ubelgiji yamefungwa na
Axel Witsel dakika ya 13, Dries Mertens dakika ya 50 na Jeremy Doku
dakika ya 79, wakati la Iceland lilifungwa na Holmbert Fridjonsson
dakika ya 10
0 comments:
Post a Comment