MASHABIKI 50 WATAKIWA SAFARI YA STARS BENIN SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limetoa nafasi 50 kwa ajili ya mashabiki kwenda Benin kushuhudia mchezo wa Kundi J kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya wenyeji Oktoba 12 Jijini Cotonou.
0 comments:
Post a Comment