MO AWAIBUKIA WACHEZAJI MAZOEZINI MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC, Mohammed Dewji leo ametembelea mazoezi ya timu Uwanja wa Mo Simba Arena kuelekea mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya watani, Yanga Jumamosi.
0 comments:
Post a Comment