Mshambuliaji wa zamani wa timu ya
soka ya Yanga pamoja na timu ya Simba Hamis Kiiza amejiunga rasmi na
klabu ya Al Hilal ya Sudan kwa kuingia kanadarasi ya mwaka mmoja kwa
ajili ya kuitumikia timu hiyo.
Kiiza ni miongoni mwa wachezaji wenye bahati ya kusajiliwa
na vilabu mbalimbali katika nchi tofauti ambapo pia baada ya kuachwa na
klabu ya Simba alielekea nchini Afrika ya Kusini akijiunga na klabu ya
Free State kabla ya kurejea nchini Uganda.
Home
»
»Unlabelled
» HAMIS KIIZA AJIUNGA NA AL HILAL
Friday, May 19, 2017
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment