Thursday, June 1, 2017

details june1   2017
 by alanus
 
Azam FC imetangaza rasmi kuachana na Afisa Mtendaji Mkuu wake, Saad Kawemba, baada ya kumaliza mkataba wake.
Azam FC pia imefanya mabadiliko ya mfumo wa kiuongozi, Cheo cha C.E.O kimefutwa, badala yake atabaki General Manager.
Aidha, sera ya usajili inabadilika ambapo watatumia zaidi njia kuwapandisha wachezaji kutoka kikosi B kinacholelewa kwenye Akademi ya klabu hiyo.

0 comments:

Post a Comment