details june1 2017
by alanus
Vyombo vya habari nchini Brazil
vinasema kuwa mifupa ya gwiji wa zamani wa soka nchini humo Manuel
Francisco dos Santos maarufu kama Garrincha, inaweza kuwa imepotea zaidi
ya miongo mitatu baada ya kifo chake akiwa na miaka 49.
Kuna
makaburi mawili ambayo yote yana majina yakemjini Rio de Janeiro lakini
inawezekana kati ya hayo hakuna hata moja ambalo ni lake.
Garrincha mpinzani mkubwa wa Pele wa ni nani zaidi katika historia ya soka kwa nchi hiyo,aliisaidia nchi yake kutwaa kombe la dunia mwaka 1958 na 1962.

0 comments:
Post a Comment