by alanus
Nahodha
wa Ureno, Cristiano Ronaldo akimbusu binti mdogo mlemavu jana Uwanja
wa Otkrytiye Arena mjini Moscow kabla ya mchezo dhidi ya wenyeji Urusi.
Kwa busu hilo, baraka za mtoto huyo zilimsaidia Ronaldo kuifungai bao
pekee la ushindi wakiilaza 1-0 Urusi kwenye mchezo huo wa Kundi A Kombe
la Mabara PICHA ZAIDI GONGA HAPA

0 comments:
Post a Comment