NATHAN AKE ATUA BOURNEMOUTH KWA DAU LA REKODI Nathan Ake akiwa amevaa jezi ya AFC Bournemouth na kuinua skafu yake, baada ya beki huyo kukamilisha uhamisho wa Pauni Milioni 20 kutoka Chelsea kwa dau la rekodi la klabu hiyo
0 comments:
Post a Comment