By alanus
Mwanasoka
Bora wa Dunia, Cristiano Ronaldo ameposti picha hii ya watoto wake
pacha, Mateo na Eva waliozaliwa na mama ambaye hajatajwa baada ya
kukutana nao kwa mara ya kwanza. Mchezaji huyo wa Real Madrid mwenye
umri wa miaka 32 ambaye Jumatano timu ya taifa, Ureno ilitolewa na Chile
kwa penalti 3-0 baada ya sare ya 0-0 kwenye Nusu Fainali ya Kombe la
Mabara nchini Urusi, sasa anafikisha watoto watatu baada ya Cristiano
Jnr wa kwanza mwenye umri wa miaka saba sasa, lakini naye mama yake
hajulikani
0 comments:
Post a Comment