by alanus
Denis
Glushakov wa Urusi akipambana katikati ya mabeki wa New Zealand
kuifungia bao la kwanza timu yake dakika ya 31 akimlazimisha Michael
Boxall kujifunga katika mechi ya Kundi A michuano ya Kombe Mabara jana Uwanja wa Krestovskyi mjini St. Petersburg. Bao lingine la wenyeji, Urusi lilifungwa na Fyodor Smolov dakika ya 69

0 comments:
Post a Comment