Alexandre
Lacazette akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia timu yake mpya,
Arsenal bao la pili dakika ya 83 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya
wenyeji, Sydney FC kwenye mchezo wa kirafiki mchana wa leo Uwanja
wa ANZ mjini Sydney, Australia. Bao la kwanza lilifungwa na Per
Mertesacker dakika ya nne tu PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Home
»
»Unlabelled
» LACAZETTE AFUNGUA AKAUNTI YA MABAO ARSENAL IKISHINDA 2-0
Friday, July 14, 2017
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment