Robert
Lewandowski akishangilia baada ya kufunga kwa penalti dakika ya 53
kuipatia Buyern Munich bao la tatu katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Bayer Leverkusen usiku wa jana Uwanja wa Allianz
Arena mjini Munich, Ujerumani kwenye mchezo wa Bundesliga. Mabao
mengine ya Bayern Munich yalifungwa na Niklas Sule dakika ya tisa na
Corentin Tolisso dakika ya 19 wakati la Bayer Leverkusen lilifungwa na Admir Mehmedi dakika ya 65 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Home
»
»Unlabelled
» LEWANDOWSKI AFUNGA BAYERN MUNICH IKISHINDA 3-2 BUNDESLIGA
Saturday, August 19, 2017
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment