Mabondia Floyd Mayweather na Conor McGregor wakitambiana baada ya kupimwa uzito jana ukumbi wa T-Mobile Arena mjini Las Vegas, Marekani na wote kukutwa na kilogramu 69.8 kuelekea pambano lao la uzito wa Super-Welter usiku wa leo ukumbi wa MGM Grand Arena, ambalo kwa Afrika Mashariki tutalishuhudia asubuhi ya Jumapili
Home
»
»Unlabelled
» MAYWEATHER NA MCGREGOR WAKUTWA NA UZITO SAWA
Saturday, August 26, 2017
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment