Gwiji
wa Argentina, mshambuliaji Lionel Messi akiifungia bao la kwanza kati
ya matatu Barcelona jana Uwanja wa Camp Nou ikiichapa Espanyol 5-0
katika mchezo wa La Liga. Messi alifunga dakika za 25,
36 na 66 kufikisha hat trick 38 Barcelona, wakati mabao mengine
yalifungwa na Gerard Pique dakika ya 84 na Luis Suarez dakika ya 90
Sunday, September 10, 2017
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment