REAL YALAZIMISHWA SARE NYUMBANI, 1-1 NA LEVANTE LA LIGA Nyota wa Real Madrid, Gareth Bale akimruka mchezaji wa Levante leo katika mchezo wa La Liga uliomalizika kwa sare ya 1-1 Uwanja wa Bernabeu. Ivi Lopes alianza kuwafungia wageni dakika ya 12, kabla ya Lucas Vazquez kuwasawazishia wageni dakika ya 36
0 comments:
Post a Comment