Jumamosi October 28, 2017 kitawaka pale uwanja wa Uhuru utakapochezwa mchezo wa ligi kuu Tanzania Yanga vs Simba mzunguko wa nane wa ligi hiyo.
kabla ya mechi hiyo kupigwa, kuna takwimu muhimu za kufahamu ili kujua ubora wa kila timu na mapungufu yake inapocheza ugenini au uwanja wa nyumbani.
Simba
- Nafasi: 1
- Mechi ilizocheza: 7 Nyumbani: 3 Ugenini 4
- Ushindi: 4 Nyumbani: 3 Ugenini: 1
- Sare: 3 Nyumbani: 1 Ugenini: 2
- Kupoteza: 0 Nyumani: 0 Ugenini: 0
- Magoli ya kufunga: 19 Nyumbani: 15 Ugenini 4
- Magoli ya kufungwa: 4 Nyumbani: 1 Ugenini: 3
- Pointi: 15 Nyumbani: 10 Ugenini: 5
- Cleen sheets: 4 Nyumbani: 3 Ugenini: 1
- Mechi waliyoshindwa kufunga goli: 1 Nyumbani: 0 Ugenini: 1
- Ushindi Mkubwa: 7-0 Nyumbani: 7-0 Ugenini: 2-1
- Kipigo kikubwa: 0
Yanga
- Nafasi:2
- Mechi ilizocheza: 7 nyumbani: 3 ugenini: 4
- Ushindi: 4 nyumani: 1 ugenini 3
- Sare: 3 nyumbani: 2 ugenini: 1
- Kupoteza: 0 nyumbani: 0 ugenini: 0
- Magoli ya kufunga 10 nyumbani: 2 ugenini: 8
- Magoli ya kufungwa:3 nyumbani: 1 ugenini 2
- Pointi: 15 nyumbani: 5 ugenini: 10
- Clean sheets: 4 nyumbani: 2 ugenini: 2
- Mechi waliyoshindwa kufunga goli: 1 nyumbani: 1 ugenini: 0
- Ushindi mkubwa: 4-0 Nyumbani: 1-0 Ugenini: 4-0
- Kipigo kikubwa: 0
0 comments:
Post a Comment