Golikipa
wa Timu ya KMC FC, Rahim Sheih pamoja na makipa wenzake wakifanya
mazoezi kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wao dhidi ya Polisi Tanzania
,mchezo huo utakaopigwa Oktoba tano katika dimba la Uhuru jijini Dar es
Salaam.
Mchezaji
wa timu ya KMC FC , Adrew Vicent, Dante akifanya mazoezi na wachezaji
wenzake leo katika uwanja wa uhuru jijini Dar es Salaam.
Golikipa
na Nahodha wa Timu ya KMC FC Juma Kaseja , Sudi Dondola akiwa na
wachezaji wenzake wakifanya mazoezi leo katika uwanja wa Uhuru Jijini
Dar es Salaam.
Mchezaji
wa timu ya Manispaa ya Kinondoni, KMC FC , Hassan Kabunda akifanya
mazoezi na wenzake leo katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

0 comments:
Post a Comment