Saturday, October 28, 2017


Mkufunzi wa Tottenham amesema kuwa anaweza kuishinda Manchester United bila ya mshambuliaji Harry Kane anayeuguza jeraha,
Haki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionMkufunzi wa Tottenham amesema kuwa anaweza kuishinda Manchester United bila ya mshambuliaji Harry Kane anayeuguza jeraha,
Tottenham inaweza kuishinda Manchester United bila ya mshambuliaji Harry Kane anayeuguza jeraha, kulingana na meneja Mauricio Pochettino.
Mshambuliaji Kane mwenye umri wa miaka 24 atakosa mechi ya ya Odl Trafford baada ya kupata jereha katika mechi dhidi ya liverpool ambapo Suprs waliibuka mshindi.
Mutamkosa mshambuliaji bora, alisema Pochettino, alisema.
"Lakini ninaamini kila mara tunaweza kushinda na timu moja ama nyengine na nadhani ndiye mshambuliaji bora baranai Ulaya na duniani.
"Tumecheza bila Harry hapo awali .Tuna Fernando Llorente na iwapo utakumbuka msimu uliopita wakati Harry alikosa mechi mnyingi tulmtumia Son Heung-min''.

0 comments:

Post a Comment