Thursday, November 9, 2017


Rudia kusema tena, Mario Balotelli haishi vituko, safari hii amemuibukia Neymar bila taarifa.

Balotelli amefanya surprise baada ya kumtembelea Neymar ambaye yuko katika kambi ya timu ya taifa nchini Ufaransa wakijiandaa kuivaa Japan.


Ndipo Balotelli alipoamua kumuibukia mwanaye “kibingwa” ingawa wenyewe wameonekana ni wenye furaha pale Balotelli alipotupia picha wakiwa pamoja

0 comments:

Post a Comment