Neymar akishangilia baada ya kuifungia bao la kwanza Brazil kwa penalti dakika ya 10 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Japan Uwanja wa Pierre-Mauroy mjini Lille, Ufaransa jioni ya leo kwenye mchezo wa kirafiki. Neymar angefunga mabao mawili kama asingekosa penalti nyingine dakika ya 17 wakati mabao mengine ya Brazil yamefungwa na Marcelo dakika ya 17 na Gabriel Jesus dakika ya 36
Home
»
»Unlabelled
» NEYMAR AFUNGA PENALTI MOJA, AKOSA MOJA BRAZIL YASHINDA 3-0
Friday, November 10, 2017
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment