Mshambuliaji wa Barcelona, Paco Alcacer (kushoto) akishangilia mbele ya beki Gerard Pique baada
ya wote kufunga katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Real Murcia kwenye
mchezo wa marudiano wa Kombe la Mfalme usiku wa jana Uwanja wa Camp Nou.
Alcacer alifunga dakika ya 16, Pique 56 na mabao mengine yalifungwa na Aleix
Vidal dakika ya 60, Denis Suarez dakika ya 74 na Jose Arnaiz dakika ya
79. Ushindi unamaanisha Barca inatinga 16 Bora kwa ushindi wa jumla wa
8-0 baada ya kushinda 3-0 kwenye mechi ya kwanza

0 comments:
Post a Comment