Fernando
Torres akishangilia baada ya kuifungia Atletico Madrid mabao mawili
dakika za 33 na 68 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Elche kwenye mchezo wa
Kombe la Mfalme usiku wa jana Uwanja wa Wanda Metropolitano mjini Madrid. Bao lingine la Atletico Madrid limefungwa na Jose Gimenez dakika ya 31
0 comments:
Post a Comment