Riyad
Mahrez akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Leicester City bao la
pili dakika ya 45 na ushei katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Tottenham
Hotspur usiku wa jana kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa
King Power. Bao la kwanza lilifungwa na Jamie Vardy dakika ya 13, wakati
la Spurs lilifungwa na Harry Kane dakika ya 79
Home
»
»Unlabelled
» LEICESTER CITY YAIKANDAMIZA 2-1 TOTTENHAM KING POWER
Wednesday, November 29, 2017
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment